top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

Dkt. Benjamin L, MD

9 Oktoba 2021, 08:43:32

Je mtu anaweza kuoga sanitizer?

Je mtu anaweza kuoga sanitizer?

Hapana!

Sanitizer au kitakasa mikono havijatengenezwa kwa ajili ya kuoga au kutumika kama mafuta ya kujipaka bali hutumika kuondoa vimelea vya magonjwa kwenye mikono.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021, 09:16:16

Rejea za mada hii

bottom of page