top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
ULY CLINIC
9 Oktoba 2021 10:58:44
Imezuiliwa mikusanyiko, je mashuleni watoto hawakusanyiki na vyuoni?
Miongozo kwa ajili ya wanafunzi na taasisi za elimu ilishatolewa na inafuatwa vizuri ikiwemo elimu ya kujikinga magonjwa na kufanya mazoezi na kuzingatia mlo bora.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
9 Oktoba 2021 12:28:02
Rejea za mada hii
bottom of page