top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

ULY CLINIC

9 Oktoba 2021 11:05:17

Kwanini barakoa isitumike wakati wa chafya tu?

Kwanini mtu asivae barakoa akafunika mdomo wakati wa chafya tu?

Maambukizi ya virusi vya Corona husambaa kwa majimaji toka kwa mtu mwenye COVID-19 wakati wa kuongea, kukohoa, kupiga chafya na kadhalika. Hivyo tunashauriwa kuvaa barakoa kwa usahihi kwa kufunika mdomo na pua kwani hata wakati wa kuongea mtu anaweza pia kutoa hayo majimaji na kusababisha maambukizi. Lakini pia uvaaji wa barakoa umkinga mtu mwingine asipate maambukizi toka kwa mtu mwingi.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021 12:28:02

Rejea za mada hii

bottom of page