top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

10 Oktoba 2021 14:07:20

Kwanini ugonjwa wa Korona unaitwa COVID-19?

Kwanini ugonjwa wa Korona unaitwa COVID-19?

COVID-19 ni kifupi cha Ugonjwa wa Virusi vya Korona. 19 inaashiria mwaka ambao kirusi hicho kiligundulika,mwaka 2019 huko nchini China.


Soma zaidi kuhusu COVID-19 kwa kubofya hapa

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021 14:07:20

Rejea za mada hii

bottom of page