top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

10 Oktoba 2021 13:47:42

Kwanini wataalam wanaochan- ja chanjo ya Korona hawavai gloves?

Kwanini wataalam wanaochan- ja chanjo ya Korona hawavai gloves?

Si lazima kuvaa gloves wakati wa kuchoma chanjo. Gloves zinavaliwa pale tu ambapo mhudumu wa afya atalazimika kushika majimaji ya mwili au damu.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021 13:47:42

Rejea za mada hii

bottom of page