top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

Dkt. Benjamin L, MD

21 Novemba 2021 15:18:22

Majira na ulemavu wa kuzaliwa

Je, vidonge vya majira yenye vichocheo viwili husababisha ulemavu wa kuzaliwa kwa mtoto?

Hapana.

Ushahidi wa kutosha kutoka kwenye tafiti unaonyesha kuwa vidonge vya majira yenye vichocheo viwili havitasababisha matatizo ya kuzaliwa na havitaleta madhara kwa kijusi kama mwanamke atakuwa mjamzito wakati anameza au kwa bahati mbaya akianza kumeza Vidonge vyenye vichocheo viwili wakati akiwa mjamzito.


Maswali mengine


majibu haya yamejibu maswali mengine yafuatayp;


  • Je, kijusi kitapata madhara kama mwanamke kwa bahati mbaya atameza majira yenye vichocheo viwili wakati akiwa mjamzito?

  • Je vidonge vya majira yenye vichocheo viwili vinasababisha matatizo ya kuzaliwa?

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

21 Novemba 2021 15:18:58

Rejea za mada hii

  1. Charlton, et al. “Maternal use of oral contraceptives and risk of birth defects in Denmark: prospective, nationwide cohort study.” BMJ (Clinical research ed.) vol. 352 h6712. 6 Jan. 2016, doi:10.1136/bmj.h6712.

  2. Mosher WD, et al. Use of contraception in the United States: 1982-2008. Vital Health Stat 23 2010:1-44. [PubMed].

  3. Skouby SO. Contraceptive use and behavior in the 21st century: a comprehensive study across five European countries. Eur J Contracept Reprod Health Care 2004;9:57-68. [PubMed].

  4. russell J.  Contraceptive failure in the United States. Contraception  2011;83: 397-404. 10.1016/j.contraception.2011.01.021 21477680 [PMC free article] [PubMed] [CrossRef] [Google Scholar].

  5. Black A, Francoeur D, Rowe Tet al. Canadian contraception consensus. J Obstet Gynaecol Can 2004;26:347-87, 389-43. [PubMed]

  6. Lewis DP, et al.  Drug and environmental factors associated with adverse pregnancy outcomes. Part I: Antiepileptic drugs, contraceptives, smoking, and folate. Ann Pharmacother  1998;32: 802-17. 10.1345/aph.17297 9681097 [PubMed] [CrossRef] [Google Scholar].

  7. Polednak AP.  Exogenous female sex hormones and birth defects. Public Health Rev  1985;13: 89-114. 2939493 [PubMed] [Google Scholar].

bottom of page