top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
ULY CLINIC
9 Oktoba 2021 10:51:01
Ugonjwa wa COVID-19 unaenea vipi?
Ugonjwa wa COVID-19 unaenea pale majimaji kutoka kwenye kwenye mdomo au njia ya hewa ya mtu mwenye maambukizi yanapoingia kwa mtu kupitia macho, mdomo au pua. Virusi vinapoingia huathiri njia ya hewa Pamoja na mapafu.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
9 Oktoba 2021 12:28:03
Rejea za mada hii
bottom of page