top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
ULY CLINIC
9 Oktoba 2021, 10:07:06
Ukichanjwa chanjo ya Corona unaweza kuugua COVID-19 au unakuwa umekingwa daima?
Hata baada ya kupata chanjo ya COVID-19 bado unaweza kupata maambukizi ya COVID-19, lakini hata kama ukipata maambukizi hutazidiwa na ugonjwa mkali au kupata madhara makubwa. Na hata kama ni dalili itakuwa ni zile ndogondogo na za kawaida kabisa, tofauti na ambavyo itatokea kwa yule ambae atakuwa ajachanjwa.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
9 Oktoba 2021, 12:28:12
Rejea za mada hii
bottom of page