top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

Dkt. Benjamin L, MD

9 Oktoba 2021, 08:04:25

Waathirika wakubwa wa COVID-19

Kirusi kipya cha korona kinaua zaidi watu wazima na vijana?

Licha ya ugonjwa mkali wa COVID-19 kuwapata sana wazee kuliko vijana, virusi vya corona vinaathiri watu wa rika zote, vijana na wazee, hivyo ni vyema kila mmoja achukue tahadhari za kujikinga na kuikinga jamii inayomzunguka.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021, 09:16:24

Rejea za mada hii

bottom of page