top of page

Mwandishi:

Mhariri:

10 Oktoba 2021, 13:24:46

Watu wenye mzio na chanjo ya COVID-19 wanapewa dawa gani?

Watu wenye mzio na chanjo ya COVID-19 wanapewa dawa gani

Dawa zinatolewa kwa kuzingatia dalili anazopata mtu alienchanjwa. Mfano mtu akipata joto baada ya chanjo atapatiwa dawa ya kushusha joto, mtu akipata maumivu ya kichwa atapatiwa dawa za kupunguza maumivu n.k.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

10 Oktoba 2021, 13:24:46

Rejea za mada hii

bottom of page