Mlo tiba
Nyumbani
Dawa A-Z
Dalili A-Z
Magonjwa A-Z
Virutubisho A-Z
Matibabu
Elimu
Mlo wa tiba
Majibu ya maswali
Ujauzito
Blogi
Foram
ULY CLINIC Limited
Mengineyo
Azithromycine inaweza kukusababishia hali kali ya kichefuchefu na kutapika, pia inaweza kuleta madhara makali yatokanayo kama ikitumika na pombe.
Dawa jamii ya NSAIDs mfano Naproxen, Ibrupofen zikitumika pamoja na pombe huweza kuleta madhara ya kuvurugika kwa tumbo,  kuvia damu ndani ya tumbo na vidonda vya tumbo.
Dawa hizi huwa na maudhi ya usingizi, endapo zitatumika pamoja na pombe huweza kuleta hali kubwa ya usingizi au nusu kifo, au kifo kinaweza kutokea.
Dawa hizi kwa kawaida huwa na maudhi ya kuleta hali ya kusinzia ambayo ndo msingi wa kutibu tatizo la kukosa usingizi na shauku kuu.
Dawa hizi kwa kawaida huwa na maudhi ya kuleta hali ya kusinzia ambapo ndo msingi wa matibabu ya tatizo la kukosa usingizi.