top of page
Profile
Join date: 17 Nov 2024
About
47 likes received
4 comments received
0 best answers
Mimi ni daktari wa binadamu, niliyebobea kutoa elimu ya afya kwa jamii, nikiwa mwandishi kwa mwaka wa 7 sasa katika tovuti hii.
Kufundisha na kutoa uzoefu wa kitiba kwa watu wanaotafuta maarifa ya kitiba ni moja ya kitu kinachonivutia sana na kunifanya kila siku niwaze nini kizuri cha kuwapa wahitaji ili waweze kusuuzika nafsi zao. Mimi ni daktari mwenye msukumo binafsi ndani yangu wa kuelimisha jamii. Nategemea maoni kutoka kwako msomaji wa makala ili kuboresha kile ninachokitoa. Asante
Overview
Dkt. Glory, MD
Medical Doctor
More actions
bottom of page