top of page

Mwandshi:

ULY CLINIC

21 Jul 2021

h.s

h.s

h.s ni kirefu cha nini?

h.s katika tiba ni kirefu cha neno la Kilatini ‘hora somni’ chenye maana ya ‘saa la kulala’.


Tafsiri ya h.s kwenye cheti cha dawa

Endapo limetumika katika dawa, neno hili humaanisha ‘dawa itumike katika saa ya kulala’

ULY CLINIC inakukumbusha siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri zaidi na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote binafasi inayohusu afya yako.

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kwa kubofya 'Pata tiba' Au 'mawasiliano yetu' chini ya tovuti hii.

Imeboreshwa,

15 Agosti 2023 18:11:25

1. Abbreviations used in prescriptions. https://catalog.hardydiagnostics.com/cp_prod/Content/hugo/AbbreviationsUsedInPrescriptions.htm. Imechukuliwa 21.07.2021

bottom of page