top of page
Mwandshi:
ULY CLINIC
21 Jul 2021
p.a.a
p.a.a ni kirefu cha nini?
p.a.a. katika tiba na dawa ni kifupisho cha neno la Kilatini ‘parti affectae applicandus’ lenye maana ya ‘paka sehemu iliyoathirika’.
Tafsiri ya p.a.a kwenye cheti cha dawa na mpango wa mtibabu ya mgonjwa
Kama dawa itaandikwa na kufuatiwa na p.a.a inamaanisha dawa hiyo ipakwe sehemu iliyona ugonjwa tu na si vinginevyo.
ULY CLINIC inakukumbusha siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri zaidi na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote binafasi inayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kwa kubofya 'Pata tiba' Au 'mawasiliano yetu' chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
15 Agosti 2023 17:57:42
1. Prescriptions and Medication Orders. https://pharmlabs.unc.edu/labs/prescriptions/latin.htm. Imechukuliwa 20.07.2021
bottom of page