top of page

Mwandshi:

ULY CLINIC

21 Jul 2021

tsp

tsp

tsp ni kirefu cha nini?

tsp katika tiba na dawa ni kifupisho cha neno 'teaspoon' lenye maana ya kijiko cha chai.

Kama kifupisho hiki kitatumika kwenye cheti cha dawa au matibabu ya mgonjwa humaanisha mgonjwa ‘atumie kipimo cha kijiko cha chai’.


Maana zingine za kijiko cha chai

Kunywa dawa kijiko kimoja cha chai ni sawa na kunywa mililita 5 za dawa

Dawa kijiko kimoja cha chakula ni sawa na vijiko 3 vya chai.

ULY CLINIC inakukumbusha siku zote uwasiliane na daktari wako kwa ushauri zaidi na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote binafasi inayohusu afya yako.

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kwa kubofya 'Pata tiba' Au 'mawasiliano yetu' chini ya tovuti hii.

Imeboreshwa,

15 Agosti 2023 17:54:25

1. Liquid medication administration. https://medlineplus.gov/ency/article/002209.htm. Imechukuliwa 20.07.2021

2. Teaspoon. https://medical-dictionary.thefreedictionary.com/teaspoon. Imechukuliwa 20.07.2021

3. Teaspoon. https://www.vocabulary.com/dictionary/teaspoon. Imechukuliwa 20.07.2021

bottom of page