top of page

Dalili, viashiria na visababishi

Katika kurasa hizi utasoma kuhusu  dalili, viashiria na visababishi vyake. Kwa maelezo zaidi ya dalili ingia kwenye vipengele vya dalili za ugonjwa ndani ya tovuti hii

Urethraitiz

Urethraitiz

Urethraitiz hutokana na michomo kwenye mrija wa urethra kama matokeo ya shambulio la kinga ya mwili kwenye vimelea wa maradhi walio kwenye mrija huo haswa wale wanaosababisha magonjwa ya zinaa.

Prostaitiz Kali

Prostaitiz Kali

Prostaitiz kali ni michomo kwenye tezi dume inayotokea kama matokeo ya shambulio la mfumo wa kinga kwenye vimelea walio kwenye tezi na huambatana na dalili kali za ghafla.

Prostaitiz sugu

Prostaitiz sugu

Prostaitiz sugu ni michomo kwenye tezi dume inayotokana na shambulio la kinga kwenye vimelea walio kwenye tezi dume, shambulio hilo hudumu angalau kwa muda wa miezi mitatu na kuendelea.

bottom of page