top of page
Pregnant belly

Ujauzito

Kurasa hii ina maelezo mbalimbali kuhusu dawa katika ujauzito na kunyonyesha, mazoezi ya kuleta uchungu, mazoezi ya kuharakisha kujifungua, mazoezi ya kupunguza uchungu na mada mbalimbali za afya kwa mjamzito.

>>>

Mahudhurio mazuri ya kliniki na kufuata ushauri unaopewa na watoa huduma huchangia kuimarisha afya ya mama na mtoto tumboni.

bottom of page