Maoni ya watumiaji
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania, Arusha
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndio imekua msaada mkubwa sana imeniepusha na kutokutumia dawa kiholela pindi ninapohisi utofauti katika mwili wangu/afya
2 Januari 2025, 22:58:47
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania - shinyanga
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Imekuwa ikinisadia Sana kujua dalili za magojwa na matibabu yake na namna ya kujikinga
15 Februari 2024, 04:54:10
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania, Morogoro
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ilikuwa msaada mkubwa Sana kwangu kipindi nilipokuwa mjamzito..nilijifunza mambo meng Sana
16 Desemba 2024, 18:33:53
Nchi na mkoa ulipo
Geita
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Imenisaidia kujua dawa baadhi
8 Oktoba 2023, 21:49:33
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania, Dodoma
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Je mtu anaweza akaonyesha dalili za maambukizi ya virusi vya ukimwi na visionekane kwenye vipimo?
7 Oktoba 2024, 20:03:32
Nchi na mkoa ulipo
Tanzania, Morogoro
Tovuti hii imekuwa msaada kwako?
Ndio, ninasoma na kuelewa dalili zangu na pia nafahamu kuhusu dawa. Nauliza maswali pia na kujibiwa vema