top of page
Kamusi Tiba ya ULY CLINIC
1/52 maana yake ni nini?
Katika tiba na cheti cha dawa namba iliyoandikwa juu ya 52 humaanisha idadi ya wiki dawa inapaswa kutumika kati ya wiki 52 za mwaka.
Kama dozi ya dawa imeandikwa juu ya namba 52 humaanisha dawa hiyo itumike katika wiki hizo. Mfano dawa iliyoandikwa 1/52 inamaanisha dawa itumike kwa muda wa wiki moja tu.
bottom of page

