top of page

FURSA ZA KIBIASHARA

 

Kazi ULY-Clinic

Tunatoa ajira mikoani kote kwa wale wanaopenda kufanya kazi nasi, kwa ajira wasiliana nasi kupitia kitufe cha mawasiliano yetu chini ya tovuti hii

 

Kwa kufanya kazi nasi utapata uzoefu na pia utakutana na wataalamu mbalimbali nje na ndani ya nchi.

Matangazo kwenye tovuti

Tunatoa fursa ya kutangaza bidhaa mbalimbali za Afya kwenye tovuti hii. Kama una tangazo linalohusiana na mambo ya afya na unapenda kutangaza nasi, wasiliana nasi kupitia 'mawasiliano yetu' chini ya tovuti hii.

bottom of page