top of page

Makundi ya ULY CLINIC telegramu

ULY CLINIC telegramu ni kurasa yenye viungo muhimu vinavyokuwezeehsa kuingia kwenye makundi mbalimbali ya telegramu. Makundi hayo yana taarifa mbalimbali zinazoendana na mada itakayochaguliwa. Ili kupata ushauri katika kundi husika mfano lishe kwa mtoto, kisukari, ujauzito, shinikizo la juu la damu n.k chagua kundi la kujiunga kupitia kitufe chini ya tovuti hii.

Utaratibu wa kujiunga

Unapaswa kulipia kiasi cha shilinga 1,000/= kila mwezi ili kujiunga na kuendelea kuwa mwana kikundi.

Nini utafaidika kwenye makundi haya;

  • Vidokezo vya afya vinavyoendana na tatizo lako, vidokezo hivi vinalenga kukuwezesha kuthibiti tatizo lako

  • Vidokezo vya namna ya kujikinga na tatizo hili

  • Elimu kuhusu lishe na namna ya kudhibiti ugonjwa kwa lishe

Aina ya makundi unayoweza kujiunga nayo

  • ULY CLINIC kisukari

  • ULY CLINIC Presha

  • ULY CLINIC Ujauzito

  • ULY CLINIC Lishe

  • ULY CLINIC Lishe kwa mtoto

Ili kujiunga unapaswa bofya kitufe na kutuma ujumbe wa barua pepe au meseji kwenye namba za simu hapo chini kuhusu kundi unalotaka kujiunga, namba ya muamala uliolipia na namba ya simu uliyotumia kulipia. Ili kufanya malipo pia, bofya vitufe kupata namba za simu.

Tafadhali  kama ukichagua kujiunga kwa njia ya simu tuma ujumbe wa meseji ili ujibiwe haraka iwezekanavyo, usipige simu.

bottom of page