top of page

Ni kwanini uchangie kutuwezesha?

Huduma zetu za elimu ya afya zinatolewa bure bila mtumiaji kuchangia, tunafanya hivi ili kuwafikishia ujumbe wa afya watu wote kwa vile ni jambo jema kuwa na Taifa lenye Elimu na Afya njema.

 

Taifa lenye watu wenye Elimu na Afya njema linauwezo mkubwa wa kukua Kiuchumi kwa sababu watu wake hawaugui na taifa huwekeza sana kuzalisha badala ya kupambana na maradhi.(Tafiti zinaonyesha bajeti ya matumizi ya nchi nyingi kwenye matibabu ni kubwa mno kuliko kinga)

ULYCLINIC kuona umuhimu wa Elimu ya Afya imeamua kutoa huduma za elimu BURE pasipo kuchangia kwa mtumiaji wa mtandao wetu. 

Uandishi wa habari za Afya kwenye tovuti yetu unahitaji kuhusisha wataalamu mbalimbali waliobobea ili kupitia habari mara kwa mara, kupitia mabadiliko kwenye vitabu na makala na kuandika habari za kweli na uhakika zilizo  sambamba na mabadiliko ya kisayansi na tafiti zinazofanyika.

Mchango unaotoa ni wa thamani sana katika kutoa elimu ya afya inayoaminika kwa watu mbalimbali duniani.

Endapo una akaunti ya pay pal endelea kwa kubonyeza kitufe cha kuchangia hapo chini, lakini endapo hauna basi unawez akutumia namba za simu hizi MPESA 0752954281, HALOPESA 0621122578

Asante kwa kuwa Mdau wetu mkubwa, ULYCLINIC inathamini mchango wowote ule utakaoutoa

 

Muhimu: Endapo unachangia kupitia application ya ULY CLINIC baadhi ya simu hazikupi uchaguzi wa kukamilisha muamala wako, hivo tunakuomba uchangie nje ya application kwa kutumia browser yoyote ile kama google chrome, explorer n.k ili kuweza kukamilisha muamala wako. 

Huna kipato?

Endapo huna uwezo wa kuchangia kipato, changia taarifa za 'Umuhimu wa elimu ya afya kwa jamii' kwa kubofya hapa

@ULYCLINIC-CEO

bottom of page