top of page
Mwandishi:
Mhariri:
Imeboreshwa:
Dr.Sospeter Mangwella, MD
ULY CLINIC
4 Agosti 2025, 12:48:26
Vidonda kwenye uume
Video inayofuata imezungumzia kuhusu visababishi mbalimbalu vya vidonda kwenye uume, dalili za vidonda kwenye uume na kugusia matibabu ya vidonda hivyo.
Kwa video zingine za afya ingia kwenye akaunti yetu ya ULY CLINIC Youtube au kwenye makala ya vidonda kwenye uume inayopatikana ndani ya tovuti hii.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
bottom of page
