top of page

Kichomi

Mwandishi:

Dkt. Benjamin L, MD

31 Mei 2022 19:06:29

Kichomi

Kichomi ni maumivu makali na ya ghafla, yanayoweza kuwa kama ya kuchomwa mshale au kisu au kukatwa na kitu kikali.

Kichomi ni nini?

Kichomi ni maumivu makali na ya ghafla, yanayoweza kuwa kama ya kuchomwa mshale au kisu au kukatwa na kitu kikali.

Kichomi kinaweza kutokea sehemu yoyote ya mwili na huweza kusababishwa na sababu mbalimbali kama zilivyoelezewa katika makala zingine.

Baadhi ya vichomi vinavyowapata watu ni:

Imeboreshwa,

6 Juni 2022 14:30:14

bottom of page