top of page

Madhara ya dawa

Mwandishi:

ULY CLINIC

21 Julai 2021 18:56:58

Madhara ya dawa

Madhara ya dawa ni nini?


Madhara ya dawa ni maudhi makubwa ya dawa ambayo hayakutegemewa na hutokea baada ya kutumia dawa. Mfano wa madhara ya dawa ni mzio wa anafailaksia.

Imeboreshwa,

6 Juni 2022 15:01:58

bottom of page