top of page
Saitoplazim
Mwandishi:
ULY CLINIC
14 Juni 2021 20:56:08

Saitoplazim ni nini?
Ni uji mzito unaopatikana ndani ya kuta za seli.
Uji huu huwa na maji, chumvi na protini. Kwenye seli jamii ya eukariyotiki, saitiplazim hujumuisha vitu vyote vilivyo ndani ya seli na nje ya ukuta wa nuklia.
Imeboreshwa,
6 Juni 2022 15:21:14
bottom of page