top of page

Shinikizo la kifafa cha mimba

Mwandishi:

ULY CLINIC

17 Julai 2021 19:42:16

Shinikizo la kifafa cha mimba

Shinikizo la kifafa cha mimba ni nini?


Shinikizo la kifafa cha mimba ni tatizo linalotokana na ujauzito na huambatana na shinikizo la juu la damu, dalili za kudhulika kwa viungo ndani ya mwili, mara nyingi huanza na figo.


Tatizo hili huonekana kuanzia wiki ya ishirini ya ujauzito kwa mwanamke ambaye alikuwa na shinikizo la damu la kawaida.


Majina mengine ya shinikizo la kifafa cha mimba ni

  • Preeclampsia

Imeboreshwa,

6 Juni 2022 15:11:39

bottom of page