top of page
Mwandishi:
ULY CLINIC
8 Oktoba 2024, 12:52:46

Ujauzito wa zabibu
Ni uviumbe usio saratani, hutokea endapo wakati wa uumbaji utengenezaji wa seti za jeni za baba kwenye yai lililochavushwa zimekuwa nyingi kuliko kawaida. Tatizo hili linapotokea ukuta ambao ulitakiwa kuwa kondo la nyuma hubadilika kuwa vijifuko vingi vidogo vilivyojaa maji na hivyo kutengeneza mwonekao wa zabibu.
Hufahamika kwa jina jingine kama ujauzito wa zaibibu au ujauzito wa mola
Imeboreshwa,
21 Mei 2025, 07:57:47
bottom of page
