top of page
Imeandikwa na ULY CLINIC
Kupoteza kumbukumbu
​
Kupoteza kumbukumbu ni hali ya kusahau, ukweli, taarfia na uzoefu mtu aliokuwa nao mwazo.
Watu wanaopoteza kumbukumbu hujijua wao wakinanani, lakini huwa na shida katika kujifunza na kutunza taarifa mpya
Upotevu w akumbukumbu unaweza sababishwa na uharibifu kwenye sehemu ya ubongo inayohusika na mambo ya kumbukumbu
Imeboreshwa 1.12.2020
bottom of page