top of page
Mwandishi:
Dkt. Benjamin l, M.D
Mhariri:
Dkt. Sospeter B, M.D
Jumanne, 25 Julai 2023
Pombe na dawa za Wasiwasi
Dawa kwenye kundi la dawa za kutibu tatizo la wasiwasi
Dawa hizi huwa na maudhi ya usingizi, endapo zitatumika pamoja na pombe huweza kuleta hali kubwa ya usingizi au nusu kifo, au kifo kinaweza kutokea. Dawa zilizo kundi hili baadhi ni lithium, dicalproex, lorazepam, alprozalam, diazepam, clonazepam
Imeboreshwa,
25 Julai 2023
Rejea za mada hii:
BNF 2018
bottom of page