Aina mbalimbali za dawa na tiba zinazofanya, Chagua aina ya dawa kisha kusoma zaidi.
ULY CLINIC haitoi uhakika kuhusu ufanyaji kazi wa dawa hizi, ni vema sikuzote kuwasiliana na mtaalamu wa afya kabla ya kutumia dawa yoyote ile ili kupatiwa dawa kulingana na tatizo lako halisi.
Onyo. Usitumie dawa bila kupata maelekezo kutoka kwa daktari wako ili kuzuia usugu na madhara mengine makubwa kutokana na kunywa dawa.
Dawa za kutibu/kuondoa bawasili
Novel- depile capsule
Ni vidonge vya dawa asilia vinavyofanya kazi ya
-
Kuondoa bawasili bila kufanyiwa upasuaji
-
Kupunguza maumivu ya kuungua na miwasho kwenye njia ya haja kubwa
-
Kuondoa kutojisikia vema mara baada ya kwenda haja kubwa
Dawa hii imetengenezwa kutoka kwenye viinirishe vilivyo kwenye machungwa, huwafaa watu wenye Matatizo ya mishipa ya damu na wale wenye bawasili sugu au lililoanza hivi karibuni
Dawa za kupunguza uzito na kukufanya uwe na umbo zuri
Xlim Express capsule au xlim express coffee
-
Ni vidonge vinavyoongeza uunguzaji wa mafuta mwilini
-
Huwa na umuhimu sana kwa watu wenye Matatizo ya uzito
Xlim constant capsule na xlim constant cofee
-
Husaidia kushape mwili wa mtu na kuweka sawia kiwango cha mafuta mwilini
-
Huboresha kinga za mwili
Dawa za kuimarisha koo na kukupa sauti nyororo kwa waimbaji
Throat easy candy
-
Hurutubisha na kulainisha koo
-
Hurinda koo dhidi ya kuumia unapokuwa unaimba
-
Huwa na radha asilia
Ni sahihi kutumiwa kwa watu
-
Wanaokauka koo au kupata maumivu ya koo wanapoimba
-
Wanaoimba sana
-
Afya ya koo
Dawa kutibu na kulinda maeneo ya siri
Femicare
-
Huimarisha ulinzi dhidi ya maambukizi ukeni
-
Huondoa kutokwa na uchafu wa ajabu ukeni, harufu mbaya na miwasho
-
Hukinga uke dhidi ya maambukizi ya fangasi na bakteria
-
Hufanya uke uwe msafi na ujisikie huru
Dawa za kukukinga na uzee kwenye ngozi
Anatic herbal essence soap
-
Hutibu miwasho, kuzeeka kwa ngozi(makunyanzi na ngozi kavu)
-
Huimarisha unyevunyevu wa kudumu kwenye ngozi na kuipa uwezo wa kungaa na kuwa na afya njema
-
Hukunjua ngozi ilo jikunjakunja(makunyanzi)
Olive oil repair soap
-
Huimarisha unyevu kwenye ngozi na husafisha ngozi
-
Huponya ngozi iloungua kwa jua
-
Hurisha ngozi kwa virutubisho vyake
-
Hupambana na uzee wa ngozi(makunyazi)
Walnut exfoliating soap
-
Huondoa ngozi iliokufa kwenye mwili wako na kuacha ngozi inayong’aa na yenye afya njema
-
Huondoa chunusi na hulainisha ngozi
-
Huifanya ngozi yako ong’ae na kuwa kama imepakwa mafuta
Dawa za kuzuia kuharrisha
Antdiarr Pills
-
Huwa imara kukukinga na kuhara kunakotokea ghafla
-
Hupunguza matatizoya tumbo
-
Hufaa kwa watu wanao safari sana haswa kwa wale wanaoingia kwenye maeneo ambayo usalama wa chakula na maji si mzuri
Dawa za kukukinga na kupata haja ngumu au kutoka kwa shida
constiRelax
-
Huimarisha mzunguko wa chakula na kinyezi tumbozi hivyo kukukinga na kuondoa Matatizo ya haja ngumu au kutotoka kabisa
-
Huondoa sumu mwilini na kukupa afya njema
-
Huimarisha kazi za kimetaboliki mwilini
-
Huimarisha na kuweka sawia kiwango cha lehamu mwilini
-
Hukufanya uwe na uzito wa kiafya
-
Inaondoa Mafuta mwilini(Cholestral)
-
Inazuia mtu kupata choo kigumu
-
Inazuia kupata bawasiri
-
Inaondoa mawe kwenye figo
-
Inaondoa sumu kwenye mwili
-
Inaongeza urembo wa ngozi
-
Inaondoa uchafu kwenye appendex
-
Inaufanya mwili upokee virutubisho
-
Inaondoa mafuta yaliyozidi mwilini
-
Ni nzuri kwa wanaotaka kupunguza mwili
-
Inasafisha tumbo hivyo na kuondoa asidi tumboni
Dawa za kushusha shinikizo la damu
Presha free tea
-
Hushusha shinikizo la damu na kuimarisha mzunguko wa damu
-
Huondoa msongo wa mawazo na hofu
-
Hukukinga dhidi ya kuonekana mzee, hukufanya uwe na mwonekano wa kijana
Dawa za kushisha sukari mwilini
Chai ya Glucoblocker
-
Huimarisha kiwango cha sukari kinachotakiwa mwilini
-
Huwa nzuri kwa watu ambao wanataka kudhibiti kiwango cha sukari mwilini
Vidonge vya glucoplus
-
Huimarisha kiwango cha sukari kinachotakiwa mwilini
-
Huwa nzuri kwa watu ambao wanataka kudhibiti kiwango cha sukari mwilini
-
Hukufanya uwe na afya njema
Dawa za kuuwezesha ubongo wako
-
Huimarisha kumbukumbu na mzunguko wa damu kwenye ubongo
-
Husaidia kupeleka virutubishi kwenye ubongo
-
Hukukinga na kusahau kunakohusiana na umri mkubwa
Dawa za kukukinga na tezi dume
Vidonge vya ProstateRelax
-
Huzuia tezi dume kukua, na huirinda tezi dume,huifanya iwe na afya njema
-
Huimarisha afya ya mfumo wa mkojo
-
Huimarisha utendaji kazi wako kwenye tendo al ndoa. Hukufanya ufanye tendo la ndoa kwa ufanisi zaidi
Ni nzuri kwa watu
-
Walio na vihatarishi vya tezi dume haswa wale wenye umri wa miaka 45 na kuendelea
-
Wanaume wenye Matatizo ya mfumo wa mkojo au Matatizo ya mkojo(mfano kutotoka vizuri, kuuma, mkojo kutoka wenyewe na mengine)
Dawa za asili za kuimarisha utendaji kazi wa mwanaume kitandani wakati wa tendo la kujamiiana
Vidonge vya Xpower Man na Manxtra
-
Huimarisha na kukufanya ufanye tendo kwa kujiamini na kumfikisha mwanamke
-
Hukufanya uwe na hamu na ufurahie tendo la kujamiiana
-
Hukufanya uwe na mfumo wa uzazi bora na wenye afya njema
Dawa asilia zzenye vitamin muhimu mwilini
BetterSorb
-
Huwa na vitamin zote A, B, C, DE na K
-
Huwa na madini ya calcium, chromium, selenium, chuma, magnesium, manganese na madini joto
Ni nzuri kutumika kwa
-
Vijana wadogo wanaokuwa ili kuimarisha mifupa yao na kuwafanya wakuwe vema
-
Wazee, huimarisha kinga zao za mwili
-
Kwa watu wote kwa kuimarisha kazi mbalimbali muhimu za mwili ikiwa pamoja na ulinzi dhidi ya magonwa mbalimbali yatokanayo na upungufu wa vitamin
-
Wanawake wajawazito na wale wanaonyonyesha na wale wanaotumia dawa za uzazi wa mpango
Xpowermen
Ni dawa inaoongeza nguvu za kiume, huongeza muda wa uume kusimama, kuchelewesha kumwaga mbegu na kumfanya mwanaume ajisikie kufanya tendo la ndoa. Licha ya hayo dawa hii huongeza utamu wa tendo la ndoa kwa mwanaume, Mwanamke pia hufika kileleni kwa sababu mwanaume hufanya tendo hili kwa ufanisi
Pure and Broken Ganoderma Spores
-
Inazuia na kuondoa magonjwa sugu
-
Huongeza kinga za mwili
-
vHusaidia kiwango cha sukari mwilini
-
Husaidia kuondoa colestral
-
Huufanya mwili ufanye shughuli zake kwa uhakika
-
Inasaidia watu wenye shida ya figo na ini
-
vInatoa sumu mwilini
-
Inapambana na uzee
-
Huwasaidia watu waliotoka kwenye operation kupona haraka
-
Inasaidia uzalishaji wa seli mwilini
-
Huongeza hamu ya chakula
Refined Yunzhi Essence
-
Inaongeza Uhai kwa Inni na Mapafu
-
Inazuia ukuaji wa seli za kansa
-
Inazuia na kuondoa Aleji Zote
-
Inazuia na Kuondoa Uvimbe kwenye kizazi bila operation
-
Inaleta hamu ya tendo la ndoa kwa kina mama
-
Inaongeza uuwiano wa homoni mwilini
-
Inazuia hedhi iliyozidi na inayoenda muda mrefu
-
Inaondoa magonjwa ya Pumu
-
Ni nzuri kwa kuondoa vimbe zote sehem ya mwili
-
Inaongeza kinga za mwili
-
Ni nzuri kwa wagonjwa wa Sukari,kansa,HIV/AIDS,TB nk
Bidhaa za mzunguko wa damu
MicrO2 Cycle
-
Inaondoa mafuta kwenye mishipa ya Damu
-
Inafanya Oxygeni isambae vizuri kwenye damu
-
Inaondoa kukakamaa kwenye mishipa
-
Inaondoa Ganzi
-
Inaondoa na kuzuia presha
-
Inazuia miguu kuwaka moto
-
Inaondoa visindano kuchoma mwilini
-
Inazuia mtu asipate strock
-
Inazibua mishipa midogomidogo
-
Inaondoa visindano vinavyochoma mwilini
CEREBRAIN Tablets
-
Kuongeza uwezo wa Kumbukumbu
-
Kuzuia kiharusi(strock) kwa wenye tatizo
-
Kuondoa shida ya kushindwa kuongea
-
Kuzuia tatizo la kupooza
-
Kuondoa msongo wa mawazo
-
Kuoneza mzunguko wa damu kwenye ubongo
-
Kuongeza uwezo wa kufikiri
-
Kusaidia ubongo kupata virutubisho vizuri
-
Kuongeza usambazaji wa oxygen kwenye ubongo
-
Ninzuri kwa wazee wenye umri mkubwa
GluGogone Capsules
-
Inabalance kiwango cha sukari ndani ya mwili
-
Inaleta uponyaji katika kongosho
-
Inaondoa sukari iliyozidi mwilini
-
Inawasaidia watu wenye kisukari vidonda kupona haraka
-
Inazuia kongosho lisiharibike kwa mtu asie na kisukari
-
Inaondoa mishipa ya damu iliyosinyaa
-
Inasaidia ngozi ya usoni kuwa vizuri
Glucoblocker tea
-
Inabalance kiwango cha sukari ndani ya mwili
-
Inaleta uponyaji katika kongosho
-
Inazuia kupata kisukari kwa mtu ambaye hana
-
Inafanya ngozi iwe nyororo
-
Inapunguza kiwango cha glucose mwilini
-
Ni nzuri kwa wenye sukari ya kurithi
-
Inaongeza uwezo wa vidonda kupona haraka
Pressure Free Tea
-
Inazuia na kuondoa presha
-
Inazuia mwili kuchoka
-
Ni nzuri kwa mtu mwenye presha
-
Inachelewesha uzee kwa kusafisha ngozi
-
Inasafisha mkojo
ProstateRelax Capsules
-
Inafanya Mkojo utoke Vizuri
-
Inaongeza Nguvu za Kiume
-
Inaongeza Uwingi wa Mbegu za Kiume(Sperm Count)
-
Inaongeza Uwezo wa mwanaume kufanya mapenzi bila kuchoka Haraka na Kurudi kwenye tendo Bila Kuchoka
-
Inazuia Tezi dume na kansa ya Tezi Dume
GluzoJoint Capsules
-
Inaongeza Ute ute na kuondoa msuguano katika maungio
-
Inaondoa maumivu kwenye Maungio
-
Inaongeza wa kartilage kujiumba upya
ZaminoCal Capsules
-
Inaongeza Calcium katika mifupa na meno
-
Inaongeza Zink ndani ya mwili
-
Inaleta Hamu ya kula
-
Inaondoa miguu kuwaka moto
-
Inafanya ngozi iwe nzuri
-
Inafanya Mifupa iunge haraka kwa alievunjika
ArthroXtra Tablet
-
Inaimarisha mifupa na kufanya iwe na nguvu
-
Inaondoa Baridi ya Bisi
-
Inaondoa Matege kwa Watoto
-
Inazuia Kulika kwa Mifupa
Reish Cofee
-
Inatoa sumu mwilini
-
Inaongeza kinga za mwili
-
Inaondoa stress
-
Inaondoa uchovu
-
Inaleta usingizi mzuri / wa kitoto
Feminergy Capsules
-
Ni maalum kwa wanawake
-
Inaondoa makunyanzi kwenye ngozii
-
Inafanya ngozi iwe laini na unyevunyevu
-
Inaondoa mabaka na Chunusi
-
Inafanya ngozi ing`ae na mwororo
-
Inakasa misuli ya kwenye uke
-
Inaongeza hamu ya mapenzi
Novel Depile
-
Inaondoa Bawasiri bila kufanya upasuaji
-
Inaondoa michirizi ya unene
-
Ni nzuri kwa wagonjwa wa tumbo na kuharisha
-
Inaondoa maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa
Kumbuka: Kuna aina nyingi ya dawa za asilia zinazoweza kutibu maradhi mbalimbali, unapochagua aina ya dawa tafadhari hakikisha unazingatia kwamba dawa hiyo imedhibitishwa na imeruhusiwa na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania TMDA, au duniani FDA kutumika kwa binadamu
Endapo una maswali zaidi, wasiliana nasi kwa maelezo zaidi kupitia namba za simu au ka kubonyeza 'Pata tiba' chini ya tovuti hii.
Tembelea tovuti hii siku zote ili kupokea maboresho zaidi na kuelimika kuhusu dawa zingine zinazoongeza mara kwa mara.
Toleo la 2
Imeboreshwa, 28/12/2020
Dawa za asili zinazopatikana ni za kutibu, bonyeza kusoma au kupata tiba ;
Vimbe za fibroid kwenye kizazi
Ganzi na maumivu ya mikono na miguu