top of page
Bei ya Dawa

Bei ya Amoxicillin
Amoxicillin ni antibiotic inayotumika kutibu maambukizi ya bakteria kama UTI, tonsillitis na pneumonia. Bei yake inatofautiana kulingana na fomu: kidonge cha 500mg huuzwa kati ya TZS 100–800, syrup ya watoto huanzia TZS 500 hadi 2,000, na sindano hupatikana kuanzia TZS 600 hadi 2,000 kulingana na mahali unaponunua.
bottom of page

