top of page

Bei ya Amoxicillin
Amoxicillin ni antibayotiki ya kundi la penicillin inayotumika sana kutibu maambukizi ya bakteria kama:
UTI (maambukizi ya njia ya mkojo)
Tonsillitis
Pneumonia
Maambukizi ya masikio na koo
💊 Fomu za kawaida:
Amoxicillin 500mg capsule/tablet (Tembe/Kidonge)
Bei ya MSD: ~TZS 100–150
Bei ya famasi binafsi: TZS 250–800 kwa kidonge kulingana na eneo na chapa
Amoxicillin Syrup 125mg/5ml (100ml) (Maji)
MSD: ~TZS 300–500
Famasi binafsi: TZS 1,000–2,000
Amoxicillin injection (500mg/10ml) (Sindano)
MSD: TZS 600–800
Famasi binafsi: Hadi TZS 2,000+
Kumbuka
Bei hutofautiana sana kati ya famasi za serikali, hospitali binafsi na mitandao.
Imeboreshwa:
20 Februari 2026, 06:25:28
bottom of page
