top of page
Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, MD
Mhariri:
Dkt. Adolf S, MD

Dawa ya kutibu figo zilizofeli

8 Juni 2021 13:30:06
Image-empty-state.png

Dawa za kutibu figo iliyofeli kufanya kazi ni dawa zinazotumika kupunguza dalili za figo kufeli, dawa hizi huwa haziondoi tatizo la figo kufeli. Ifahamike kuwa matibabu pekee kwa sasa ya figo kufeli ni kubadilishiwa figo au kufanyiwa dayalisis.


Dawa za kutibu figo iliyofeli


  • Furosemide

  • Lasix

  • Torsemide

  • Ethacrynic acid

ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha  vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
10 Julai 2023 10:16:39
bottom of page