top of page
Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, MD
Mhariri:
Dkt. Adolf S, MD

Dawa ya kutibu ugonjwa wa figo

8 Juni 2021 13:27:46
Image-empty-state.png

Kuna aina nyingi za magonjwa ya figo ambayo yanaweza kusababishwa na sababu kama maambukizi, kisukari, matumizi ya dawa, shinikizo la juu la damu n.k. kutokana na visabishi hivyo, kuna magonjwa mengi yanaweza kutokea na kuitwa ugonjwa wa figo.


Magonjwa ya figo ni yapi?


Baadhi ya magonjwa ya figo ambayo yanatokea Sana ni;


  • Ugonjwa sugu ya figo

  • Mawe kwenye figo

  • Kuvimba Glomerula

  • Uvimbe maji wa figo (PKD)

  • UTI


Maelezo ya dawa unayapata wapi?


Ili kusoma dawa ya kila ugonjwa wa figo iliyoorodheshwa hapo juu, tafuta ugonjwa husika kwa kuandika kwenye kiboksi cha ‘Tafuta chochote hapa..’ juu ya tovuti hii.

ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha  vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
10 Julai 2023 10:16:39
bottom of page