top of page
Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, MD
Mhariri:
Dkt. Adolf S, MD

Dawa ya kutibu Vajinosis ya bakteria

18 Juni 2021 13:04:55
Image-empty-state.png

Vaginosis ya bakteria ni ugonjwa wa vajinosis ya bakteria ni hali inayoletwa na ongezeko kubwa la bakteria waishio ndani ya uke hivyo kuwazidi bakteria walinzi ambao pia huishi ndani ya uke


Dawa za kutibu vajinosis ya bakteria


Dawa zinazoweza kutumika kutibu vaginosis ya bakteria ni;


  • Metronidazole (Flagyl)

  • Tinidazole (Tindamax)

  • Clindamycin (Cleocin, Clindesse)


Dalili za vaginosis ya bakteria


Wanawake wengi wenye ugonjwa wa vajinosis ya bakteria huwa hawaonyeshi dalili au ishara yoyote, hata hivyo endapo dalili zitatokea zinajumuisha;


  • Kutokwa na ute mwembamba, rangi ya kijivu au mweupe kama maziwa

  • Kutokwa na harufu mbaya ukeni mithiri ya harufu ya samaki haswa baada ya kujamiana

  • Hisia za kuungua, kuwashwa ukeni au maeneo yanayozunguka tundu la uke kwa nje

  • Maumivu wakati wa kukojoa( kuungua ukeni wakati wa kukojoa au majimaji yanapopita)


Majina mengine ya dawa ya kutibu vaginosis ya bakteria ni


  • Dawa za bacteria vaginosis

  • Dawa ya uchafu wa ute wa rangi ya kijivu ukeni

ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha  vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
10 Julai 2023 10:16:39
1. Rejea za mada hii. Norah Kairys, et al.Bacteria vaginosis.https://www.ncbi.nlm.nih.gov/books/NBK459216/. Imechukuliwa 18.06.2021

2. 8Sexually transmitted diseases treatment guidelines, 2015. Centers for Disease Control and Prevention. https://www.cdc.gov/std/tg2015/default.htm. Imechukuliwa 18.06.2021

3. Sobel JD. Bacterial vaginosis: Treatment. https://www.uptodate.com/contents/search. Imechukuliwa 18.06.2021

4. Tindamax (prescribing information). San Antonio, Texas: Mission Pharma; 2018. https://dailymed.nlm.nih.gov/dailymed/drugInfo.cfm?setid=a0d01539-8413-4703-94cc-d221918630a1. Imechukuliwa 18.06.2021

5. Cleocin (prescribing information). New York, N.Y.: Pfizer; 2018. http://labeling.pfizer.com/showlabeling.aspx?id=627. Imechukuliwa 18.06.2021

6. Flagyl (prescribing information). New York, N.Y.: Pfizer; 2018. http://labeling.pfizer.com/ShowLabeling.aspx?id=570. Imechukuliwa 18.06.2021
bottom of page