Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, MD
Mhariri:
Dkt. Adolf S, MD
Dawa ya kuvimbiwa
7 Juni 2021 14:44:30
Kuvimbiwa ni hali inayotokea endpo chakula kilicholiwa hakijameng’enywa vema tumboni. Kuna visababishi vingi vya tatizo la kuvimbiwa, kusoma zaidi kuhusu tatizo dalili na vipimo vyake nenda kwenye Makala ya ‘Kuvimbiwa’ sehemu ya dalili za ugonjwa ULY CLINIC.
Endapo una dalili za kiungulia pamoja na kuvimbiwa
Endapo una dalili za kiungulia na kuvimbiwa tumia dawa mojawapo jamii ya PPI au H2 bloka zinazopunguza uzalishaji wa tindikali tumboni ambazo ni;
PPI
Omeprazole
Esomeprazole
Lansoprazole
Dexlansoprazole
Pantoprazole
Rabeprazole
Dawa zinazofunga mlango wa H2 kama
Famotidine (Pepcid AC,)
Cimetidine (Tagamet, Tagamet HB)
Ranitidine (Zantac, Zantac 75,)
Nizatidine tembe (Axid AR, Axid Capsules, Nizatidine tembe)
Kutopata haja kubwa muda mrefu
Endapo hujaenda haja kubwa mda mrefu sana tumia dawa za prokinetiksi zinazoongeza hamu ya haja kubwa ambazo ni;
Metoclopramide (Reglan, Metozolv ODT)
Bethanechol (Urecholine)
Cisapride (Propulsid)
Prucalopride (Motegrity)
Kuvimbiwa kutokana na maambukizi ya H.pylori
Matumizi ya dawa za vidonda vya tumbo endapo una maambukiziya H.pylori. Soma kuhusu dawa za vidonda vya tumbo sehemu nyingine katika Makala za ULY CLINIC
Kuvimbiwa kutokana na sonona au hofu/wasiwasi uliopitiliza
Endapo visababishi vya kuvimbiwa ni sonona na wasiwasi, basi tumia dawa za kutibu matatizo hayo ambazo zinajumuisha;
Amitriptyline
Amoxapine
Bupropion (wellbutrin)
Buspirone (BuSpar)
Benzodiazepines
Citalopram (celexa)
Clomipramine (anafranil)
Diphenhydramine
Desipramine (norpramin)
Desvenlafaxine (pristiq, khedezla)
Doxepin
Duloxetine (cymbalta)
Escitalopram (lexapro)
Fluoxetine (prozac, sarafem, selfemra, prozac)
Fluvoxamine (luvox)
Imipramine (tofranil)
Levomilnacipran (fetzima)
Mirtazapine (remeron)
Nortriptyline (pamelor; aventyl is a discontinued brand in the us)
Paroxetine (paxil, paxil cr, pexeva)
Propranolol
Protriptyline (vivactil)
Prazosin
Sertraline (zoloft)
Trazodone extended release tablets (oleptro)
Trazodone, (desyrel)
Trimipramine (surmontil)
Venlafaxine (effexor)
Vilazodone (viibryd)
Vortioxetine (trintellix, inajulikana pia kama brintellix)
Wapi unapata taarifa nyingine zaidi kuhusu kuvimbiwa?
Kupata taarifa nyingi zaidi kuhusu kuvimbiwa, soma makala ya kutomeng'enywa kwa chakula au kuvimbiwa ndani ya tovuti ya uly clinic