top of page
Mwandishi:
Dkt. Sospeter B, M.D
Mhariri:
Dkt. Salome A, M.D
Dawa za fangasi maeneo ya siri
10 Julai 2023, 18:29:35
Fangasi wa maeneo ya siri ni fungasi wanaoathiri ngozi ya maeneo yanayofunikwa na chupi yaani maeneo ya juu ya mapaja, kinena, makalioni, katikati ya mapaja, viungo vya siri. Fangasi wa maeneo haya pia kitiba hufahamika kama Tinea cruris.
​
Orodha ya dawa
Matibabu ya fangasi wa maeneo ya siri ni pamoja na;
Terbinafine
Butenafine
Clotrimazole
Miconazole
Ketoconazole
Econazole
Luliconazole
Naftifine
Oxiconazole
Tolnaftate
Ciclopirox
Itraconazole
Sulconazole
Griseofulvin
ONYO: Usitumie dawa yoyote bila ushauri wa daktari. Dawa zinaweza kuleta madhara mwilini na pia matumizi ya baadhi ya dawa pasipo ushauri na vipimo husababisha vimelea kuwa sugu dhidi ya dawa hiyo.
ULY clinic inakushauri kuwasiliana na daktari wako unapotaka kuchukua maamuzi yoyote yanayohusu afya yako.
Wasiliana na daktari/Mfamasia wa ULY clinic kwa ushauri na Tiba au kuandikiwa dawa kwa kupiga simu au Kubonyeza Pata tiba chini ya tovuti hii.
Imeboreshwa,
10 Julai 2023, 18:35:13
BNF 2019
bottom of page