Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, MD
Mhariri:
Dkt. Adolf S, MD
Dawa za kupunguza uzalishai tindikali tumboni
7 Juni 2021 14:14:00
Vidonda vya tumbo vilivyosababishw ana uzaishaji wa tindikali au kuungua na tindikali kutokana na kutokula kwa muda ni dawa za PPI au H2 BLOKA tu.
Dawa za PPI
Omeprazole
Esomeprazole
Lansoprazole
Dexlansoprazole
Pantoprazole
Rabeprazole
Dawa za H2 bloka
Dawa aina ya H2 bloka ni
Famotidine (Pepcid AC,)
Cimetidine (Tagamet, Tagamet HB)
Ranitidine (Zantac, Zantac 75,)
Nizatidine tembe (Axid AR, Axid Capsules, Nizatidine tembe)
Majina mengine ya dawa za kuzuia uzalishaji tindikali
Kuna majina mengine mengi yanayotumiwa kumaanisha dawa za kuzuia uzaishaji tindikali kama dawa za antiacid, dawa za asidi, dawa za kiungulia, dawa za chembe ya moyo, dawa za kucheua tindikali, dawa za GERD n.k.
Wapi unaweza kupata taarifa zingine zaidi
Unaweza kupata taarifa zingine zaidi kuhusu dawa za kuzuia uzalishaji tindikali na vidonda vya tumbo katika makala sehemu nyingine ndani ya tovuti ya ULY CLINIC.