Mwandishi:
Dkt. Benjamin L, MD
Mhariri:
Dkt. Adolf S, MD
Dawa za kutibu kusinyaa kwa ini
9 Juni 2021 18:11:09
Dawa za kutibu ini lililosinyaa au kusinyaa kwa ini, katika Makala hii imemaanisha dawa zenye uwezo wa kupunguza au kuondoa dalili zinazotokana na ini kufeli kufanya kazi.
Visababishi vya kusinyaa kwa ini
Mara nyingi ini kusinyaa husababishwa na;
Matumizi ya kupindukia ya
Maambukizi ya hepatitis B au C
Mafuta mengi kwenye ini yasiyosababishwa na pombe ( hutokea sana kwa watu wenye uzito mkubwa kuppita kiasi( au wenye ugonjwa wa obeziti, kisukari au wenye kiwango kikubwa cha kolestro/rehamu kwenye damu)
Dawa za kutibu kusinyaa kwa ini kutokana na Hepatitis B na C
Dawa za kutibu maambukizi ya virusi vya hepatitis (homa yama ini) hutumika endapo kisababishi ni maambukizi ya virusi, dawa hizo ni;
Maambukizi ya kirusi cha homa ya ini B
Entecavir (Baraclude),
Tenofovir (Viread),
Lamivudine (Epivir)
Adefovir (Hepsera)
Telbivudine (Tyzeka)
Interferon alfa-2b (Intron A)
Maambukizi ya kirusi cha homa ya ini C
Simeprevir
Sofosbuvir
Ledipasvir + Sofosbuvir
Ombitasvir+ Paritaprevir + Ritonavir
Sofosbuvir + Velpatasvir
Sofosbuvir + Velpatasvir + Voxilaprevir
Glecaprevir +Pibrentasvir
Ribavarin
Dawa za ini kusinyaa kutokana na pombe
Disulfiram
Naltrexone
Acamprosate
Dawa za kutibu dalili au madhara yaliyojitokeza
Dawa za kutibu/kuzuia maambukizi ya bakteria kwenye tumbo
Ciprofloxacin
Norofloxacin
Ceftriaxone
Rifaximin
Ofloxacin
Amoxicillin-clavulanate
Dawa za kugandisha damu
Kuongezewa plazima iliyogandisha
Kuongezewa chembe sahani za damu
Kuongezewa vigandisha damu
Desmopressin (DDAVP)
Vitamin K (Phytonadione)
Dawa za kupunguza maji mwilini na tumboni
Bumetanide
Furosemide
Hydrochlorothiazide
Chlorothiazide
Amiloride
Triamterene
Spironolactone
Dawa za kusinyaza mishipa inayotoka damu (kutokwa damu kwenye umio hupelekea mgonjwa kutapika damu au kutoa kinyesi chenye damu au rangi nyeusi)
Octreotide
Dawa za kushusha shinikizo la damu kwenye ini
Atenolol
Metoprolol
Nadolol
Propranolol
Timolol
Carvedilol
Dawa za kufanya hajakubwa ipite haraka
Beta-galactosidofructose
Wapi utapata taarifa zingine zaidi kuhusu ini kusinyaa?
Pata taarifa zingine kuhusu mada ya Ini kusinyaa kwa kubofya linki inayofuata;
1. https://www.ulyclinic.com/ini-kusinyaa