top of page

Elimu ya magonjwa kwa mjamzito

Sehemu hii utajifunza maelezo ya ziada kuhusu matatizo mbalimbali ya kiafya wakati wa ujauzito. Unashauriwa siku zote kuwasilaina na daktari wako kabla ya kuchukua hatua yoyote ile iliyoandikwa humu ili kupata ushauri unaoendana na hali yako ya kiafya.

Wiki ya 21 ya ujauzito

Wiki ya 21 ya ujauzito

Korodani ambazo zilikuwa pamoja na matumbo huanza kushuka kuelekea kwenye kifuko cha korodani.

Wiki ya 20 ya ujauzito

Wiki ya 20 ya ujauzito

Huwa na urefu wa takribani inchi 11, kichwa hufunikwa na nywele zilizokuwa vema na ngozi huwa na utandao mweupe unaozuia isijikunje na hufunikwa na vinyweleo laini.

Wiki ya 19 ya ujauzito

Wiki ya 19 ya ujauzito

Figo za mtoto huanza kutengeneza mkojo na uwezo wa kusikia sauti kutoka mazingira ya nje ya mama huongezeka.

Wiki ya 18 ya ujauzito

Wiki ya 18 ya ujauzito

Mtoto huanza kupiga miayo na kwiki na matumizi ya damu huongezeka hivyo mama anaweza kuhisi kizunguzungu hasa akisimama kwa haraka.

Wiki ya 17 ya ujauzito

Wiki ya 17 ya ujauzito

Katika wiki hii, mtoto huendelea kungezeka uzito na urefu, mafuta hutengenewa katika ggozi yake ili kumpa joto na nywele za kichwa, kope na nyusi hujaa.

bottom of page