top of page

Mazoezi ya kujiandaa mwili dhidi ya  leba na kujifungua salama

Mazoezi wakati wa ujauzito

Mazoezi wakati wa ujauzito

Mazoezi kipindi cha ujauzito hushauriwa sana na wakunga yafanyike wakati wote haswa kipindi cha ujauzito, leba na kijifungua.

Mambo yanayo kwamisha mazoezi

Mambo yanayo kwamisha mazoezi

Wakati wa pilika za leba na kujifungua, unategemewa kuwa mtulivu, kupumua kawaida, kujishughulisha na kufuata maelekezo unayopewa, hata hivyo utaambiwa kukaa pozi tofauti tofauti. Hii ni muhimu sana wakati huu kwa afya yako na mtoto tumboni.

Pozi sahihi wakati wa ujauzito 1

Pozi sahihi wakati wa ujauzito 1

Moja ya kitu muhimu katika afya ya ujauzito ni kukaa pozi sahihi. Kukaa pozi sahihi husaidia kupunguza maumivu ya shingo na nyuma ya mgongo na kuondoa uchovu wa kupitiliza. Hata hivyo wakati wa ujauzito mabadiliko ya kifiziolojia mwilini hutokea na huchangia mwili wa mama usikae katika mpangilio mzuri.

Pozi sahihi la kukaa kwa mjamzito

Pozi sahihi la kukaa kwa mjamzito

Ukiwa umekaa kwenye kiti hakikisha mgongo unagusa kiti na umekaa karibu na meza ,usiache nafasi kati ya mgongo na kiti na pia kuwe na nafasi ndogo kati ya tumbo na meza kama inavyoonekana kwenye picha

Maadalizi ya mazoezi ya kutuliza mwili

Maadalizi ya mazoezi ya kutuliza mwili

Kaa kwenye pozi la uhuru, lala au kaa kwenye mkeka, jifunike kama ni lazima na hakikisha una mito miwili hadi minne itakayotuma.

bottom of page