Kukojoa mara kwa mara kwa mwanamke shida ni nini?
Mimi ni mwanamke na nahisi kukojoa mara kwa mara, sasa nashindwa kuelewa shida ni nini yani nikitoka kukojoa hata sichukui muda nabanwa tena
9 Views