top of page

Mwandishi:

Mhariri:

Imeandikwa:

Dkt. Salomw A, MD

Dkt. Benjamin L, MD

21 Septemba 2022 19:41:08

Gofen

Ni jina la kibiashara la dawa inayojulikana kama ibuprofen. Gofen ni dawa jamii ya NSAIDs inayotumika kutibu maumivu.


Uzito wa gofen


Dawa hii hupatikana katika mfumo wa tembe, vidonge na dawa ya maji katika uzito ufuatao


Vidonge

 • Ibuprofen yenye miligramu 100

 • Ibuprofen yenye miligramu 200

 • Ibuprofen yenye miligramu 400

 • Ibuprofen yenye miligramu 600

 • Ibuprofen yenye miligramu 800


Tembe

Ibuprofen yenye miligramu 200


Dawa ya maji

 • Ibuprofen 100 mg/5 ml ( Humaanisha miligramu 100 za ibuprofen katika ujazo wa mililita 5)

 • Ibuprofen 50 mg/1.25 ml ( Humaanisha miligramu 50 za ibuprofen katika ujazo wa mililita 1.25)


Wapi unaweza kupata maelezo zaidi kuhusu Gofen?


Soma zaidi kuhusu Gofen kwenye mada inayohusu Ibuprofen


Majina mengine ya kibiashara ya Gofen


Baadhi ya majina mengine ya kibiashara yanayomaanisha gofen/ibuprofen

 • Advil

 • Addaprin

 • A-G Profen

 • Bufen

 • Genpril

 • Haltran

 • Ibu

 • Modol IB

 • Motrin IB

 • Proprinal

 • Nuprin

 • Q-Profen

Uly clinic inakushauri siku zote wasiliana na daktari wako kwa ushauri wa matumizi ya dawa yoyote. Usitumie dawa bila kushauriwa na daktari ili kuepuka madhara na kufanya vimelea kuwa sugu kwenye dawa.

Wasiliana na daktari wa ULY CLINIC kwa ushauri na tiba kupitia linki ya 'Pata tiba' au 'Wasiliana nasi' chini ya tovuti hii

Rejea za mada hii:

Imeboreshwa:

27 Septemba 2022 18:58:35

bottom of page