top of page
Majina ya dawa ya kibiashara

Primolut N
Primolut N ni jina la kibiashara la dawa inayojulikana kama Norethisterone. ambayo ni homoni aina ya progestin inayotumika kudhibiti au kutibu matatizo ya hedhi yanayotokana na mabadiliko ya homoni, kama vile hedhi isiyo na mpangilio, endometriosis, hedhi ndefu au nzito, na kusogeza/kusubirisha hedhi kwa muda maalum.
bottom of page





