top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
ULY CLINIC
9 Oktoba 2021, 11:34:11

Je, chanjo ya COVID-19 inatolewa kwa watu wa rika zote? na je zitatosha?
Mpaka sasa chanjo nyingi zinatolewa kwa watu wenye umri wa miaka 18 na kuendelea. Kwenye hii awamu ya kwanza kwa kuanzia Serikali iliingiza nchini chanzo za kutosha watu takribani milioni moja, lakini juhudi na michakato ya kuagiza chanjo nyingine na nyingi zaidi zimeshaanza, hivyo tunatarajiwa chanjo nyinyine zitaingiza nchini siku za usoni.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
9 Oktoba 2021, 12:27:54
Rejea za mada hii
bottom of page