top of page

Mwandishi:

ULY CLINIC

Mhariri:

Dkt. Mangwella S, MD

7 Novemba 2021 09:35:09

Dawa zinazofanya kazi kama p2 ni zipi?

Dawa zinazofanya kazi kama p2 ni zipi?

P2 yenye kirefu cha postinor ni dawa ya uzazi wa mpango wa dharura iliyotengenezwa kwa dozi kubwa ya homon levonorgestrel. Dawa zingine zinazofanya kazi kama p2 ni Jadelle, Levonelle n.k

Dawa zinazofanya kazi kama p2


Majina mengine ya levonorgestrel ni;


  • Jadelle

  • Levonelle

  • Medonor

  • Microlut

  • Microluton

  • Neogest

  • Norgeston

  • Norplant

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

7 Novemba 2021 09:35:09

Rejea za mada hii

  1. Drugbank. Levonorgestrel. https://go.drugbank.com/drugs/DB00367. Iemchukuliwa 11.07.2021

bottom of page