top of page
Mwandishi:
WAMJW
Mhariri:
ULY CLINIC
9 Oktoba 2021 09:36:31
Kwanini serikali isipunguze gharama za kupima COVID-19?
Serikali ya Tanznaia imesikia kilio cha wananchi, na gharama za upimaji wa COVID-19 zimepunguzwa. Kwa sasa unapima COVID-19 kwa nusu ya gharama za awali.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
9 Oktoba 2021 12:28:16
Rejea za mada hii
bottom of page