top of page

Mwandishi:

WAMJW

Mhariri:

ULY CLINIC

9 Oktoba 2021 09:23:27

Je, chanjo ya Corona itakuwa inatolewa kwa njia ya mkoba (outreach)?

Je, chanjo ya Corona itakuwa inatolewa kwa njia ya mkoba?

Taratibu zitawekwa na Wizara ya Afya ya Tanzania kuwezesha upatikanaji kwa njia ya mkoba ili kuhakikisha kila mtanzania anayehitaji chanjo anapatiwa.

ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.

Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba

Imeboreshwa,

9 Oktoba 2021 12:28:19

Rejea za mada hii

bottom of page