Mwandishi:
ULY CLINIC
Mhariri:
28 Oktoba 2021, 07:24:42
Je, UKIMWI husababisha vipele mgongoni?
Ndio!
Maambukizi ya VVU yanaweza sababisha mgonjwa kupata aina fulani ya vipele mgongoni, hata hivyo vipele vinaweza kutokea kwa mtu yeyote hata kama hana VVU au UKIMWI.
Baadhi ya upele unaweza kuambatana na dalili zingine kama homa na uchovu.
Upele gani huambatana na VVU au UKIMWI?
Upele unaoambatana sana na watu waishio au waliopata maambukizi ya VVU unaoweza kutokea maeneo yoyote ya mwili ikiwa pamoja na mgongo ni;
Upele wa tezi limfu
Upele wa Molluscum contagiosum
Upele wa human papillomavirus (HPV)
Penisiliosis
Upele prurigo
Upele wa kirusi Varicella zoster (VZV)
Upele wa TB
Folikulaitiz ya ki-esonofilia
Soma zaidi kuhusu upele mgongoni kwenye Makala zingine za ULY CLINIC.
ULY CLINIC inakushauri uwasiliane na daktari wako kwa ushauri na tiba kabla ya kuchukua hatua yoyote ile baada ya kusoma majibu haya.
Kupata ushauri zaidi au tiba kutoka kwa daktari wa ULY CLINIC bofya hapa au tumia linki ya Pata tiba
Imeboreshwa,
28 Oktoba 2021, 16:59:31
Rejea za mada hii
Pennys NS. Skin manifestations of AIDS. London: Martin Dunitz,1995.
Ho KM, et al. Dermatologic manifestations in HIV disease. In Chan KCW, Wong KH, Lee SS, editors. HIV Manual 2001, pp231-245.
Raju PV, et al. Skin disease: clinical indicator of immune status in human immunodeficiency virus (HIV) infection. Int J Dermatol 2005;44:646-9.
Ward HA, et al. Cutaneous manifestations of antiretroviral therapy. J Am Acad Dermatol 2002;46:284-93.
Kong HH, et al. Cutaneous effects of highly active antiretroviral therapy in HIV-infected patients. Dermatol Ther 2005;18:58-66.
Jung AC, et al. Diagnosing HIV-related disease: using the CD4 count as a guide. J Gen Intern Med 1998;13:131-6.
Breuer-McHam J, et al. Alterations in HIV expression in AIDS patients with psoriasis or pruritus treated with phototherapy. J Am Acad Dermatol 1999;40:48-60.
Bartlett JG, et al. Medical Management of HIV Infection 2004.